Marioo – Salio Lyrics

Marioo – Salio Lyrics

Marioo – Salio Lyrics –Marioo, a Tanzanian recording artist, singer, and songwriter for Bongo Fleva who is quickly rising in the industry, has blessed us with a brand new hit song titled “Salio“.

RELATED: Marioo – Salio

Marioo – Salio Lyrics

instrumental playing ………

kutoka aloooh

nashukuru nimejua kisa Salio ngoja kwanza nitafute hela,
kumbe shida Sina Salio acha basi nikatafute Hela,
siungesema kisa heeeendoinafany nkos laaaa laaa×2
nimekaaa naumiza ndonga almanusu nidate

nimekaaa naumiza ndonga chupuchup nipagawe maana husiku kucha unansifia kukikucha unancheat
Natena mara kwa mara unaniambia kitu yangu ndoinafiti
mara paah natumiwa videos zako unaliwa mate kwenye ndinga
mara paah naaambiwa unadanga lako lenye umri wa kukuzaa ndonashanga

Nashukuru nimejua kisa salioo
ngoja kwanza nitafute helaa
kumbe shida Sina salioo acha basi nkatafute helaa

siungesem kisa heeeee
ndoinanifany nkose rahaa ×2
mmmh yeeeeeh aah sikila kitu nilifany kwa ajili ako na wewe
ukaniahidi utazikwa na mim ata kitu niliwash kwa ajil ako
ni ww ulitaka uvute na mimi
maneno yako yaliniaminish na mimi nikajiamin comfortability
vitendo vyako viliniaminish kumb siooo negativity
aaaah mara paah natumiwa videos zako unaliwa mate kwenye ndinga
mara paah naambiw unadanga lako lenye umri wa kukuzaa nkawa nashangaa