Download Patakatifu Mp3 by AICT Chang’ombe Choir
The prestigious gospel choir, AICT Chang’ombe Choir presents to us a compelling song, as this masterpiece is titled “Patakatifu“. This track, released in 2023 , is a captivating and inspirational addition to any music enthusiast’s collection. The tune “Patakatifu” carries a powerful message and a mesmerising melody, making it a must-listen for all. Feel free to stream the mp3, watch the video, and sing along to the heartfelt lyrics.
Get the MP3 audio, download, stream, and share this amazing song with your friends and family. When you share it, you’re spreading the goodness and joy of the song. #CeeNaija
Download More AICT CHANG’OMBE CHOIR Songs Here
Lyrics: Patakatifu by AICT Chang’ombe Choir
Wote : Baba yetu uliye mbinguni
Jina lako litukuzwe, litukuzwe
Ufalme wako uje, mapenzi yako yatimizwe
Hapa duniani kama huko mbinguni .
Solo : Mmmh Baba yetu uliye mbinguni
Jina lako litukuzwe, litukuzwe
Ufalme wako uje
Mapenzi yako yatimizwe
Hapa duniani kama huko mbinguni (Ewe Baba).
Wote: Baba yetu uliye mbinguni
Solo : jina lako
Wote : jina lako litukuzwe
Solo: Eeeh YESU
Wote: litukuzwe
Solo : Ufalme wako
Wote: Ufalme wako uje
Solo :Mapenzi yako
Wote: Mapenzi yako yatimizwe, hapa duniani kama huko mbinguni x3.
Solo: Wewe ni MUNGU peke yako x2
Ustahiliye sifa pekee
Maskani yako mahali palipoinuka mno (ooh)
Solo: Panaitwa
Wote : (patakatifu pa patakatifu)
Solo: Wewe ni
Wote : ( Mtakatifu )x13
Wote: (Mtakatifu) x13.
Solo: Viumbe wengi sana kama malaika wenye vyeo vikubwa waitwao maserafi
Mchana na usiku kamwe hawatulii, wazunguka zunguka wakipalinda patakatifu
( Ooooh Halleluya)
Na viumbe wengine kama malaika vyeo vya katikati waitwao makerubi oooh
Mchana na usiku nao hawatulii wazunguka zunguka wakihudumu patakatifu.
Solo : Wanasifu
Wote: ( Mtakatifu )x13
Solo : Wanasifu
Wote: ( Mtakatifu )x13.
Solo : Wazee ishirini na wanne wanaanguka mbele zako Baba wanakusujudia MUNGU wetu
Hawapumziki wewe MUNGU, wewe MUNGU
Wastahili, wastahili sifa na utukufu (uuuh) Bwana wewe wastahili
Wenye uhai wanne nao wamekizunguka kiti chako Baba kwa pamoja hawapumziki
Wenye uhai wanne nao wamekizunguka kiti chako Baba kwa pamoja hawapumziki.
Solo : Wanasifu
Wote: ( Mtakatifu )x13
Solo : Umeketi
Wote: Patakatifu
Solo : Oooh, Oooh Baba umeketi
Wote: Pa patakatifu
Wote : patakatifu , pa patakatifu
Solo : MUNGU umeketi
Wote : Patakatifu pa patakatifu
Wote : Amen.