Download Saa ya Mwisho Mp3 by AICT Chang’ombe Choir
Here’s an amazing song and music lyrics from the renowned “AICT Chang’ombe Choir“. It’s a song titled “Saa ya Mwisho“, and was released in 2023. This beautiful song, accompanied by a stunning music video, audio, and lyrics, is sure to captivate listeners of all ages. Don’t miss out on this beautiful musical experience.
Get MP3 audio, Download, Stream, and Share this powerful song with your friends and family, and let the blessings overflow! By sharing it with your loved ones, you’re spreading the goodness and joy that this song brings. #CeeNaija
Download More AICT CHANG’OMBE CHOIR Songs Here
Lyrics: Saa ya Mwisho by AICT Chang’ombe Choir
Kiitikio : Saa ya mwisho kumbuka inakuja
Kumbuka..saa ya mwisho karibu inakuja
Iyo..oooh x2
Beti 1: Wanyang’anyi wawili msalabani wakiwa naye YESU
Wanangojea kifo msalabani wakingojea kifo
Wenye dhambi wawili msalabani wakiwa naye YESU
Saa yao ya mwisho msalabani wakingojea kifo.
Wenye dhambi wawili msalabani wakiwa naye YESU
Saa yao ya mwisho msalabani wakingojea kifo.
Solo 1 : Iye iye iye iye iye Baba ooh
: Iye iye iye iye iye ooh
Wa kwanza alianza kumwambia Bwana YESU
Kwa kejeli alianza kumwambia Bwana YESU
Ulijifanya MUNGU..mbona unateseka
Kama wewe ni MUNGU ebu jiponye sasa
Ulijifanya MUNGU, mbona unateseka
Kama wewe ni MUNGU ebu jiponye sasa tuponye na sisi
Yesu hakujibu
(Yesu hakujibu) x2
Kiitikio : Saa ya mwisho kumbuka inakuja
Kumbuka..saa ya mwisho karibu inakuja
Iyo..oooh X2
Solo 2 : Wa pili alianza kumwambia Bwana YESU
Kwa adabu alianza kumwambia Bwana YESU
Mimi ni mwenye dhambi
Naomba msamaha
Unikumbuke Baba unakokwenda Baba
Nimetenda maovu naomba msamaha
Unikumbuke Baba unakokwenda Baba..(Aaaah)
Unikumbuke Baba unakokwenda Baba..(Aaaah)
Solo : Yesu alijibu
Wote: (Yesu alijibu) x2
Leo hii utakua nami peponi
Leo hii utakua nami mbinguni
Leo hii..
Kiitikio : Saa ya mwisho kumbuka inakuja
Kumbuka..saa ya mwisho karibu inakuja
Iyo..oooh x2