Diamond Platnumz – Holiday Lyrics
Diamond Platnumz – Holiday Lyrics –Diamond Platnumz, the award-winning artist from WCB Wasafi Records, releases the official audio version of his dance/party song, “Holiday.” Diamond Platnumz wrote the song, and Tanzanian producer Tuddthomas from Wasafi Records Tanzania created the rhythm.
RELATED: Diamond Platnumz – Holiday
Diamond Platnumz – Holiday Lyrics
wetin na do today
wapi zinachomwa crate
wetin na do today
wapi tuna celebrate
wetin na do today
wapi zinachomwa crate
wetin na do today
wapi tuna celebrate
kwanza bwana asifiwe, hallelujah
tulouona mwaka, happy new year
kula pombe mpaka upande juu yaa
meza ucheze chezea juu
leta misosi jiachie kula
maisha yenyewe vuvula
wanga ni wengi wakuchura
na hatuijui kesho
it’s a hoooooo holiday
yani hooooooo holiday
it’s a hoooooo holiday
yani hooooooo holiday
holiday
hoo hoo holiday
hoo hoo holiday
hata nkisema njichange sijui mwaka gani ntajenga hicho kibanda
mwisho nije kufa bora njipe raha kuliko kuzichanga
na mapenzi mtanange hayanaga fadhila hata uwe umejipanga
we unagharamikia na Kuna baharia anakula Bure mwamba
ooh yaani, mauzauza eeeh
mauzauza ooh
mauzauza mapenzi mauzauza eeeh
mauzauza ooh
mauzauza eeeh eeh eh
mauzauza mapenz mauzauza
kwanza bwana asifiwe, hallelujah
tulouona mwaka, happy new year
kula pombe mpaka upande juu yaa
meza ucheze chezea juu
leta misosi jiachie kula
maisha yenyewe vuvula
wanga ni wengi wakuchura
na hatuijui kesho
it’s a hoooooo holiday
yani hooooooo holiday
it’s a hoooooo holiday
yani hooooooo holiday
holiday
hoo hoo holiday
hoo hoo holiday
huyu zombie jama zombie
zombi ana karaha
zombie ana sifa
zombie ana balaa
huyu zombie jama zombie (we zombie)
zombi ana karaha (haujui)
zombie ana sifa
zombie ana balaa
huyu zombie nyie zombie maama
huyu mwana ana balaa
kazombie kana sifa
zombie ana balaa
huyu zombie jama zombie (we zombie)
zombi ana karaha (haujui)
zombie ana sifa
zombie ana balaa