Osborns Praise – Mwamba Ni Yesu

Download Mwamba Ni Yesu Mp3 by Osborns Praise

The prestigious gospel music ministry, Osborns Praise, comes through with a song called “Mwamba Ni Yesu“, and was released in 2024. This amazing and inspiring track is a must listen for any music lover. With its message and captivating melody, “Mwamba Ni Yesu” is an addition to any playlist. Whether you want to download the mp3 watch the video or sing along with the lyrics, “Mwamba Ni Yesu” is undeniably a song that will deeply touch the hearts of everyone who encounters it.

Get the MP3 audio, download, stream, and share this amazing song with your friends and family. When you share it, you’re spreading the goodness and joy of the song. #CeeNaija

DOWNLOAD HERE

Download More OSBORNS PRAISE Songs Here

Lyrics: Mwamba Ni Yesu by Osborns Praise

Mwamba ni Yesu mwamba
Mwamba ni Yesu mwamba

Njia zake ni za kweli mwamba Halleluyah yoyo
(Mwamba ni Yesu mwamba)

Akisema Ndiyo hakuna wa kupinga Halleluyah yoyo
(Mwamba ni Yesu mwamba)

Akili zake hazichunguziki Mwamba huyu Yesu
(Mwamba ni Yesu mwamba)

Na neno lake ni amina na kweli Mwamba uyu Yesu
(Mwamba ni Yesu mwamba)

Matendo yake yanatisha kama nini huyu Yesu wangu
(Mwamba ni Yesu mwamba)

Akisema ndiyo hakuna wakupinga Utukufu Yesu wangu
(Mwamba ni Yesu mwamba)

Shuhuda zake ni amina na kweli Mwamba huyu Yesu
(Mwamba ni Yesu mwamba)

Matendo yake hayabadiliki mwamba huyu Yesu
(Mwamba ni Yesu Mwamba)

Mwamba ni Yesu mwamba
(Mwamba ni Yesu mwamba)

Mwamba ooo mwamba ,Mwamba ni Yesu mwamba
Mwamba ooo mwamba ,Mwamba ni Yesu mwamba

Iye iye iye iye iye Yesu anaweza
Iye iye iye iye iye Yesu anaweza